Mwanasoka Christian Atsu ameokolewa kutoka kwenye vifusi akiwa na majeraha kufuatia tetemeko la ardhi lililoikumba Uturuki, klabu yake ya Hatayspor imeeleza.
Mwimbaji, mwandishi wa nyimbo na dansa, Beyoncé Giselle Knowles-Carter kutoka nchini Marekani amekuwa msanii wa kwanza kutunzwa zaidi katika historia ya tuzo...