Kitaifa
Aua twiga na kuchoma nyama yake
Askari wa Hifadhi ya Taifa ya Ruaha wanamshikilia Michael Mwambaja kwa tuhuma za kuua Twiga mwenye uzito wa kilo zaidi ya 700...
Kurasa za Magazeti
Kimataifa
Biashara
Hoteli hii ipo nchi mbili tofauti
Hoteli hii ndogo inayoendeshwa na familia ‘Hotel Arbez Franco-Suisse’, pia inajulikana kama L'Arbézie.
Upekee wa hoteli hii ni mahali...
Uuzaji wa leseni za Window 10 kusitishwa karibuni
Kampuni ya Microsoft inayojishughulisha na utengenezaji wa programu za kompyuta, inatarajia kusitisha kuuza leseni za Windows 10 mwishoni mwa nwezi huu.
Miradi ya dola bilioni 3.68 yasajilIwa TIC
Waziri Mlkuu Kassim Majaliwa amesema katika mwaka wa fedha wa 2021/2022, miradi mipya ya uwekezaji 630 yenye thamani ya dola...
Huduma za posta kuboreshwa
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye amesema, serikali itahakikisha huduma za posta nchini zinaendelea kuboreshwa na...
Sayari inayofanana na Dunia yagunduliwa
Shirika la Anga za Juu la Marekani (NASA) Jumanne wiki hii limegundua Sayari nyingine yenye ukubwa sawa na Sayari ya Dunia inayoitwa...
QUICK LINKS
MUONGOZO WA KUANDAA VIPINDI VYA TANZANIA SAFARI CHANNEL
GENERAL PROCUREMENT NOTICE 2019/2020
TANGAZO LA ZABUNI 2019 UTALII EQUIPMENT
TANGAZO LA ZABUNI 2019 OB EQUIPMENT & COMMUNITY RADIO DODOMA
TANGAZO LA ZABUNI 2019
GENERAL PROCUREMENT NOTICE 2018/2019
NATIONAL BUREAU OF STATISTICS
IKULU
WIZARA YA ELIMU
NATIONAL BUREAU OF STATISTICS
TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY