Uncategorized#TBCLIVE: POLEPOLE AKIELEZA TATHMINI YA MWENENDO WA KAMPENI ZA CCMBy Judith Ene Laizer - September 25, 20200311ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin “Tunatambua kwa dhati mchango wa viongozi wa dini, dua zenu na maombi yenu yametufanya tuendelee kuimarika. Mgombea wetu ameendelea kuwa na afya imara kwa sababu ya maombi yenu.”- Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole“Kampeni zinaendelea vizuri huko Zanzibar. Mwitikio wa Wazanzibar katika kampeni za mgombea urais wa Zanzibar, Dkt Hussein Mwinyi umetupa deni kubwa la kuwapatia maendeleo wananchi.”- Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Humphrey Polepole