Rais John Magufuli amesema kuwa, kiongozi yeyote ambaye amekua hawajali na kuwathamini Watendaji wa Kata hatoshi katika nafasi aliyonayo.
Rais Magufuli ametoa kauli hiyo Ikulu jijjni Dar es salaam wakati wa mkutano wake na Watendaji wa Kata kutoka nchi nzima na kuongeza kuwa, viongozi hao ni muhimu katika kuharakisha maendeleo ya Taifa.