Amiri Jeshi Mkuu, Rais Samia Suluhu Hassan, leo amewatunuku Kamisheni Maafisa Wanafunzi 724
wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) katika chuo cha Kijeshi Monduli mkoani Arusha.
Kati ya Maafisa hao, Wanawake ni 89.
Miongoni mwa Maafisa waliohitimu wapo wanatoka katika nchi za Kenya, Rwanda, Eswatini, Burundi, Urusi, China na India.