KimataifaUncategorizedBibi yake Obama afarikiBy Judith Ene Laizer - March 29, 20210221ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Bibi wa aliyekuwa Rais wa Marekani, Barack Obama, Sarah Onyango Obama amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 99.Sarah Onyango Obama amefariki dunia katika hospitali ya Jaramogi Oginga Odinga iliyopo nchini Kenya, alipokuwa akipatiwa matibabu.