MichezoUncategorizedAzam FC yatupwa nje MapinduziBy Ezekiel Simbeye - January 8, 20230234ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Singida Big Stars wanaipiga Azam FC magoli 4-1 na kutinga fainali ya Kombe la Mapinduzi mwaka 2022.Singida BS sasa wanasubiri mshindi kati ya Mlandege na Namungo FC, mchezo utakaopigwa kesho.