Wadhamini waipa Yanga bilioni 7

0
338

Kwa msimu wa 2022-2023 klabu ya soka ya Yanga imeweza kutengeneza kiasi cha shilingi bilioni 7 kupitia wadhamini wa klabu hiyo.

Rais wa Yanga Mhandisi Hersi Said amwaambia wajumbe wa mkutano mkuu wa klabu hiyo kuwa fedha hizo zimepatikana kutoka kwa wadhami 9 wa Yanga.