Wachezaji wakubwa wanataka kujiunga Yanga

0
464

“Kuna wachezaji kadhaa kutoka Klabu kubwa wanataka kujiunga na klabu yetu [Yanga]. Ni kwa sababu wanaona uimara wa uongozi, wadhamini na uwepo wa GSM. Pia mashabiki wetu ni sehemu ya usajili, huwezi kuwakwepa mashabiki, wanaweza kukuonyesha mchezaji mzuri, kwa hiyo kuna wakati unapaswa kusikiliza sauti za mashabiki.”- Rais wa Yanga, Mhandisi Hersi Said