Wachezaji Saba wapunguzwa Taifa Stars

0
590

Kocha mkuu wa timu ya taifa (TAIFA STARS) Emanuel Amunike amepunguza wachezaji Saba kwenye kikosi cha timu hiyo kilichosafiri kwenda nchini Misri kuweka kambi ya majuma mawili kwaajili ya kujiandaa na fainali za Afcon.

Miongoni mwa wachezaji waliotemwa ni pamoja na kiungo mshambuliaji wa Yanga, Ibrahim Ajib na kiungo mkabaji Simba, Jonas Mkude.