Tanzania ina viwanja vingi ambavyo vinatumika katika mashindano mbalimbali, leo tutakujuza viwanja 10 vyenye uwezo wa kuchukua mashabiki wengi zaidi, ambavyo ni;
Benjamin Mkapa (Dar es Salaam) – 60,000
CCM Kirumba (Mwanza) – 35,000
Kambarage (Shinyanga) – 30,000
Maji Maji (Ruvuma) – 30,000
Uhuru (Dar es Salaam) – 23,000
Sheikh Amri Abeid (Arusha) – 20,000
Ali Hassan Mwinyi (Tabora) – 20,000
Lake Tanganyika (Kigoma) – 20,000
Nangwanda Sijaona (Mtwara) – 15,000
Mkwakwani (Tanga) – 15,000
Takwimu hizi ni kwa mujibu wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF).