Pambano la kuwania Ubingwa wa UBO Afrika limemalizika ambapo Twaha Khasim (Twaha Kiduku) amefanikiwa kumtandika mpinzani wake Alex Kabangu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo(DRC) katika pambano la uzito wa Super Middle lililofanyika mkoani Morogoro.
Twaha anakuwa Bingwa mpya wa UBO Afrika