MichezoTovuti ya Al-Nassr yazidiwaBy Clement Silla - January 5, 20230157ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Baada ya Cristiano Ronaldo kutambulishwa katika klabu ya Al-Nassr idadi ya watembeleaji wa tovuti ya klabu hiyo iliongezeka kwa kasi na kupelekea mtandao huo kuzidiwa na kuzima kwa muda.