Rasmi vilabu vya Ligi Kuu ya nchini Uingereza vimekubali kuanza kutumia teknolojia mpya ya kutambua offside (Semi- Automated Offside Technology).
Mfumo huu mpya utaanza kutumika kwa mara ya kwanza katika ligi kuu hiyo msimu ujao.
Je, itakuwa suluhisho la utambuzi wa offside sahihi?