Tanzania yapoteza mchezo dhidi ya Tunisia

0
357

Timu ya Taifa ya soka ya Tanzania -Taifa Stars imepoteza mchezo wake wa kufuzu kwa michuano ya fainali za mataifa ya Afrika-AFCON kwa kufungwa goli 1-0 na Tunisia.

Kufuatia matokeo hayo, Tunisia inaendelea kuongoza Kundi J ikiwa na alama 9 baada ya kushinda michezo mitatu, huku Tanzania ikiwa na alama tatu sawa na Libya na Equatorial Guinea.