Tanzania bingwa CECAFA U23

Soka Tanzania

0
233

Timu ya Taifa ya Vijana chini ya miaka 23 imetwaa ubingwa wa michuano ya CECAFA kwa kuitundika timu ya Burundi mikwaju ya penati Sita kwa mitano katika mashindano yaliyofanyika nchini Ethiopia

Tanzania imetwaa Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na kati kwa vijana chini ya umri wa miaka 23 baada ya ushindi kwa mikwaju ya penati 6 – 5

Timu ya Sudani Kusini imemaliza nafasi ya tatu baada ya ushindi wa bao moja bila dhidi ya Kenya