Kikosi cha Simba kimerejea jijini Dar es Salaam baada ya kutolewa katika mashindano ya Kombe la Mapinduzi yanayofanyika visiwani Zanzibar.
Pamoja na ushindi wao wa goli 1-0 dhidi ya KVZ haukuwawezesha kutinga nusu fainali kutokana na kupoteza mchezo wao wa awali dhidi ya Mlandege.