Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta moja kati ya nyota ambao watakuwa dimbani Villa Park kuwakaribisha vijana wa Mourinho Tottenham Hotspur katika mchezo wa Ligi Kuu England
Mchezo huo wa ligi unataraji kuanza saa 11 jioni hii huku Watanzania wengi wakitamani kumuona Samatta akizifunga timu kubwa barani Ulaya
Je leo itakuaje kwa Samatta?Mchezo utakuwa upande wake?