Sadio Mane atua Saudia Arabia

0
242

Mshambuliaji wa kimataifa wa Senegal, Sadio Mane (31) amejiunga na klabu ya Al Nassr ya nchini Saudia Arabia kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea FC Buyern Munich ya Ujerumani.

Mshambuliaji huyo wa zamani wa Liverpool amecheza Bundesliga msimu mmoja pekee na sasa ametimkia Saudia ambapo ataungana na Cristiano Ronaldo