Mtibwa Sugar Mabingwa Mapinduzi 2020

0
487

Klabu ya soka ya Mtibwa Sugar ya Turiani Morogoro wameibuka mabingwa wa michuano ya Mapinduzi baada ya kuitandika Simba ya Dar es salaam kwa Bao moja kwa bila.