“Nimefanya kikao na viongozi wa Simba SC kujua changamoto ziko wapi na namna ya kuzitatua, kikao kimeenda vizuri. Wanasimba tusife moyo tuendelee kushirikiana.” ameandika Mohamed Dewji kwenye ukurasa wake wa Instagram
Je, Wewe unaona changamoto iko wapi Simba SC?.