Medali ya shaba kupatikana Khalifa

0
262

Mwonekano wa uwanja wa kimataifa wa Khalifa Doha Qatar ambapo Mbungi ya kutafuta mshindi wa Tatu itapigwa.

Ni Morocco kukipiga na Croatia, lazima mshindi apatikane ambaye ataondoka na medali ya shaba.

Mtanange huu utakujia mbashara kupitia TBC1, TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBC online kuanzia saa 12:00 jioni.