Mechi za leo Kombe la Mapinduzi.

0
191

Michuano ya Kombe la Mapinduzi inaendelea katika dimba la Amaan, Zanzibar.

Mechi hizi zitakuwa mbashara kupitia TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBConline.