MichezoMechi za leo Kombe la Mapinduzi.By Clement Silla - January 1, 20230184ShareFacebookTwitterWhatsAppLinkedin Michuano ya Kombe la Mapinduzi kuanza kurindima leo katika dimba la Amaan, Zanzibar.Mechi hizi zitakuwa mbashara kupitia TBC Taifa na mtandao wa YouTube wa TBConline.