Mbungi kitaani, Doha Qatar

0
181

Makutano ya mashabiki kwenye mitaa ya Doha, nchini Qatar wakishuhudia Mbungi ya mshindi wa tatu kati ya Croatia dhidi ya Morocco.

Katika mbungi hiyo iliyopigwa kwenye dimba la kimataifa la Khalifa, Croatia wameibuka na ushindi wa magoli mawili kwa moja na kutwaa medali ya shaba.

Hii ni mara ya pili kwa Croatia kutwaa medali hiyo ambapo walifanya hivyo pia mwaka 1998 kwenye michuano iliyochezwa nchini Ufaransa.