Azam fc imekubali kichapo cha bao moja kwa bila dhidi ya Namungo fc
Ndanda ikishinda mabao 2 kwa 1 dhidi timu ya Manispaa ya Kinondoni KMC
Mbao fc wakila mweleka wa mabao mawili kwa moja dhidi ya Mwadui fc
JKT Tanzania imeshinda bao moja kwa bila dhidi ya Kagera Sugar, huku Mbeya City wakiifunga bao moja kwa bila timu ya Mtibwa Sugar
Polisi Tanzania imeibugiza Ruvu Shooting mabao 3 kwa 1 , mechi inayoendelea sasa ni kati ya mnyama Simba dhidi ya Biashara United