Manchester City wabeba ngao ya Jamii mbele ya Liverpool

0
232

Wachezaji wa Man City Sergio Kun Aguero (katikati kushoto) na David Silva (katikati kulia)  wakiinua Ngao ya Jamii baada ya ushindi wa penalti 5-4 dhidi ya Liverpool kufuatia sare ya 1-1 Uwanja wa Wembley mjini London

Raheem Sterling alianza kuifungia Manchester City dakika ya 23 akimalizia pasi ya Silva, kabla ya Joel Matip kuisawazishia Liverpool dakika ya 77 akimalizia pasi ya beki Virgil van Dijk.