Liverpool watolewa kombe la FA

0
363

Liverpool imeambulia kipigo cha mabao mawili kwa nunge dhidi ya wazee wa darajani Chelsea nakutolewa rasmi katika michuano ya kombe la FA