Kikosi cha Simba chatua Moro kuvaana na Mtibwa

0
261

Kuelekea mchezo wa klabu ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar utakaochezwa katika dimba la Jamhuri mjini Morogoro,tayari kikosi cha timu hiyo  kikiongozwa na kocha wake  kimewasili katika mkoa huo kwa ajili ya maandalizi  ya kukabiliana na wakata miwa wa manungu,mchezo utakaochezwa Septemba 12 mwaka huu.