HERRERA WA PSG BALOZI WA UTALII

0
198

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Hemed Suleiman Abdulla akimkabidhi cheti cha ubalozi wa Utalii wa Zanzibar kiungo wa timu ya PSG ya Ufaransa aliyewahi pia kuchezea timu ya Manchester United, Ander Herrera Agüera.

Makabidhiano hayo yamefanyika katika ofisi ya Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar iliyopo Chukwani.