CHASAMBI NI MALI YA MSIMBAZI

0
371

Taarifa njema kwa mashabiki wa Simba SC ni kusainiwa kwa winga Ladaki Chasambi kwa mkataba wa miaka miwili.

Simba imewapiku wapinzani wao Yanga SC ambao imeripotiwa kuwa nao walikuwa wanamwinda winga huyo anayekipiga katika klabu ya Mtibwa Sugar.

Chasambi amepandisha msimu huu kwenye timu ya kwanza akitokea timu ya vijana chini ya miaka 20.