Barka Seif atinga bungeni

0
203

Barka Seif ni Mtanzania pekee aliyeanza kucheza mpira wa miguu akiwa na umri wa miaka minne. Alichezea vilabu vikubwa duniani kama KRC Genk ya nchini Ubelgiji, Valencia na Barcelona za nchini Hispania pamoja na Ajax ya nchini Uholanzi na mwaka 2021 aliibuka mchezaji bora katika timu ya Ajax.

Barka ambaye kwa sasa amepata fursa ya kuchezea timu ya wanafunzi na kusoma nchini Uholanzi, leo amepata fursa ya kutambulishwa bungeni jijini Dodoma.