Rose Shayo

  • Rose Shayo wrote a new post 1 year ago

    SAFARINI KUELEKEA KATESH Rais Samia Suluhu Hassan alipowasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro Desemba 7, 2023, akiwa safarini kuelekea Katesh wilayani Hanang mkoa wa Manyara kulipotokea maafa ya mafuriko.