Tamasha La Kitaifa La Utamaduni

0
294

Tamasha la Pili la Kitaifa la Utamaduni
limeanza leo mkoani Njombe na litafikia tamati Agosti 27, 2023.

Wakati wa tamasha hilo ngoma za asili kutoka mikoa yote Tanzania zitatumbuiza na kushindana.

Tamasha hilo pia litahusisha maonesho ya vyakula vya asili na mavazi , na linahudhuriwa na Machifu wa makabila mbalimbali kutoka mikoa yote.