Mawazo Ya Zawadi Za Krismasi “Boxing Day”

0
304

Desemba 26 maarufu kama “Boxing Day” unaweza kuwa umesubiri hadi dakika za mwisho kabisa ili kutoa zawadi zilizosalia kwenye orodha yako au labda hukuwa na nafasi ya kuanza kufanya manunuzi hadi sasa.

Hakuna haja ya kuogopa, Tupo na wewe na hizi ni zawadi za dakika za lala salama ambazo unaweza kuwa nazo chini ya mti kufikia kesho asubuhi.

Ingawa ni chaguo la dakika za mwisho, unaweza kushangazwa na jinsi ambavyo bado zinaweza kumbariki mtu pale atakapopokea zawadi yako.