Gari ghali zaidi duniani

0
596

Hii ndio Rolls Royce Boat Tail. Ndilo gari la kifahari zaidi na lenye thamani zaidi duniani.

Gari hili huuzwa kwa Dola Milioni 28 za Kimarekani sawa na shilingi Bilioni 65.487 za Kitanzania.

Rolls Royce Boat Tail imepakwa rangi ya kipekee, yani chameleon – esque paintwork ambayo hubadilika kutoka karibu – nyeupe hadi shaba kulingana na jinsi jua linavyoipiga.



Gari hili la kahawia ni la pili kati ya matatu tu yatakayoundwa na kampuni ya Rolls Royce.

Beyonce na JayZ ndio wamiliki wa gari ya kwanza lenye rangi ya bluu.