Picha mbalimbali zikimuonesha Rais Samia Suluhu Hassan akiwa katika Ikulu ya Bogor nchini Indonesia, ambapo leo Januari 25, 2024 amepokelewa rasmi na mwenyeji wake Rais Joko Widodo.
Rais Samia yuko nchini Indonesia kwa ziara ya kitaifa, ziara ambayo ambayo inaweka uimara wa ushirikiano baina ya Tanzania na Indonesia katika sekta mbalimbali.