Zamu ya Bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa

0
278

Leo ni zamu ya wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa kuwasilisha bungeni bajeti yake kwa mwaka wa fedha wa 2022/2023, bajeti inayowasilishwa na waziri wa wizara hiyo Dkt. Stergomena Lawrence Tax.