Waziri Mkuu: Wageni wote wapimwe

0
153

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watendaji katika kituo kimoja cha forodha cha Horohoro kuimarisha upimaji wageni wanaoingia na kutoka nje ya nchi ili kuzuia kuingia magonjwa ya kuambukizwa ikiwemo virusi vya korona

Majaliwa ametoa kauli hiyo mara baada ya kutembelea kituoni hapo ili kujionea utendaji kazi unavyokwenda ikiwa ni siku ya pili ya ziara yake mkoani Tanga