Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma

0
288
Jengo la Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma linalojengwa na SUMA JKT ambalo Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wake leo Agosti 13, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwa katika picha ya pamoja na vijana wa SUMA JKT baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua ujenzi wa Ikulu ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021. Kushoto ni Waziri wa Ujenzi na  Uchukuzi  Dkt. Leonard Chamuriho. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Ikulu  ya Chamwino jijini Dodoma, Agosti 13, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)