Waziri Mkuu awajulia hali majeruhi wa ajali ya ndege

0
254

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amefika katika hospitali ya rufaa ya mkoa wa Kagera, kuwajulia hali majeruhi wa ajali ya ndege ya Shirika la Precision, iliyotokea leo Bukoba mkoani Kagera.

Watu 19 tayari wamethibitika kufariki dunia katika ajali hiyo ya ndege.