WAZIRI MKUU AKUTANA NA WADAU WA BANDARI

0
176

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Wadau wa bandari kwenye kikao kazi kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ndogo ya Waziri Mkuu Magogoni mkoani Dar es Salaam leo Julai 20, 2021.