Waziri Biteko awataka wachimbaji wadogo kujifunza zaidi

0
225

Waziri wa Madini Dotto Biteko ametoa rai kwa wachimbaji wadogo wa madini nchini kutumia uzoefu wa nchi nyingine kujiimarisha katika uwekezaji wa madini

Biteko ametoa rai hiyo katika mkutano wa kimataifa wa wawekezaji katika sekta ya madini kwa mwaka 2020 unaofanyika jijini DSM.