Watanzania wengi wana umri mdogo

0
168

Tanzania ni miongoni mwa nchi za Afrika zenye idadi kubwa ya watu wenve umri mdogo kwa miongo kadhaa.

Takribani asilimia 43 ya watu wote nchini Tanzania wana umri wa chini ya miaka 15, kiwango ambacho ni kikubwa kuliko wastani kwa Bara la Afrika, ambapo wastani ni asilimia 41.

Takwimu hizo ni kwa mujibu wa matokeo ya Sensa ya Watu na Makazi iliyofanyika mwezi Agosti mwaka 2022.