Watanzania washauriwa kufuga Wanyama pori

0
175

Rais John Magufuli amewashauri Watanzania kufuga Wanyama pori ili kutumia fursa hiyo kujiingizia kipato

Rais Magufuli ametoa ushauri huo alipotembelea katika bustani ya wanyama ya Dar es salaam Zoo iliyopo jijini Dar es salaam.