Wahalifu wachukuliwe hatua kali

0
181

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Simon Sirro, akizungumza na maofisa na askari (hawapo pichani) wa mkoa wa Kipolisi wa Kinondoni – Dar es salaam katika kikao kazi maalum leo, ambapo amewaagiza kusimamia sheria za nchi ipasavyo na kuendelea kuwachukulia hatua kali wale wanaojihusisha na vitendo vya kihalifu.