UZINDUZI BODI YA TBC

0
146

Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, leo amezindua Bodi ya Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC).

Hafla ya uzinduzi wa bodi hiyo ambayo Mwenyekiti wake ni Stephen Kagaigai imefanyika katika ofisi za TBC zilizopo Mikocheni mkoani Dar es Salaam.