Ushirikishwaji sekta binafsi biashara haramu ya wanyamapori

0
150

Chama cha Wanahabari za Mazingira (JET), sekta binafsi pamoja na waandishi wa habari wakiwa katika kipindi kinachojikita katika ushirikishwaji wa sekta binafsi kwenye kutokomeza biashara haramu za viumbe porini.

Kipindi kimeandaliwa na JET ikishirikiana na sekta binafsi kwa udhamini wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) kupitia mradi wa USAID Tuhifadhi Maliasili.

Mjadala wa kipindi unafanyika katika studio za TBC, Mikocheni.