Ujumbe wa Total Energies Chamwino

0
218

Rais Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa kampuni ya Total Energies inayojihusisha na masuala ya Utafiti na Uzalishaji Nicolas Terraz, wakati Terraz na ujumbe wake walipofika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma leo Oktoba 29, 2022.