Ufafanuzi kuhusu wanafunzi 10 waliofariki kwa moto Kagera

0
362

Wanafunzi 10 wa Shule ya Msingi Islamic Byamungu iliyopo Kyerwa mkoani Kagera wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa baada ya bweni la wavulana kuteketea kwa moto.

Hapa chini ni taarifa ya mwindishi wetu, Charles Mwebeya kutoka mkoani Kagera;